Nicolas Pepe wa Arsenal akienda chini baada ya kuangushwa na Jack O'Connell wa Sheffield United kwenye boksi, lakini refa Mike Dean hakutoa penalti timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates. Gabriel Martinelli alianza kuifungia Arsenal dakika ya 45 kabla ya John Fleck kuisawazishia Sheffield United dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment