• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 11, 2020

  LIVERPOOL YAICHAPA TOTTENHAM 1-0 NA KUPAA ZAIDI KILELENI ENGLAND

  Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao pekee dakika ya 37 akimalizia pasi ya Mmisri, Mohamed Salah katika ushindi wa ugenini wa 1-0 Liverpool dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA TOTTENHAM 1-0 NA KUPAA ZAIDI KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top