• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 12, 2020

  TANZANIA YAICHAPA BURUNDI 5-1 MECHI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17 INDIA 2020

  Mshambuliaji wa timu ya vijana ya wanawake chini ya umri wa miaka 17, Asha Masaka (kushoto) akishangilia na mwenzake, Joyce Meshack (kulia) baada ya kufunga mabao matatu dakika za 13, 17 na 61 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Burund leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia 2020 nchini India. Joyce pia alifunga dakika ya 38 na bao lingine la Tanzania limefungwa na Protasia Mbunda dakika ya 45, wakati bao pekee la Burundi limefungwa na Lydia Karenzo dakika ya 75
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA YAICHAPA BURUNDI 5-1 MECHI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17 INDIA 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top