• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 11, 2020

  AUBAMEYANG ALIMWA NYEKUNDU ARSENAL YATOA 1-1 NA PALACE

  Wachezaji wa Arsenal wakimzonga refa Paul Tierney wakati anamuonyesha kadi nyekundu Nahodha wao, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 67 kwa kumchezea rafu Max Meyer katika sare ya 1-1 na Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Selhurst Park Jijini London. Aubameyang alitoka akiwa ameifungia Arsenal bao la kuongoza dakika ya 12 akimalizia pasi ya Alexandre Lacazette, kabla ya Jordan Ayew kuisawazishia Crystal Palace akimtungua Bernd Leno kwa shuti lililombabatiza David Luiz 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG ALIMWA NYEKUNDU ARSENAL YATOA 1-1 NA PALACE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top