• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 15, 2020

  MO DEWJI ALIPOKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN KUJADILI UENDELEZAJI SOKA YA VIJANA SIMBA SC

  Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji (kulia) akiwa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Andres Sjoberg leo Jijini Dar es Salaam katika mazungumzo yaliyohusu ushirikiano wa maendeleo ya soka ya vijana. Mo Dewji amesema Balozi Sjoberg amejitolea kuleta makocha mashuhuri kuisaidia Simba kuanza mpango huo na kuzindua kituo cha kukuza soka ya vijana cha klabu hiyo ndani ya mwaka huu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MO DEWJI ALIPOKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN KUJADILI UENDELEZAJI SOKA YA VIJANA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top