• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 23, 2020

  BALE AFUTA UKAME WA MABAO REAL MADRID YASHINDA 3-1 UGENINI

  Gareth Bale akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 18 hilo likiwa bao la kwanza katika klabu hiyo tangu Septemba 1, mwaka jana katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Unionistas de Salamanca ya Daraja la Tatu kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme Hispania Hatua ya 16 Bora usiku wa jana Uwanja wa Pistas del Helmántico. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Juan Góngora aliyejifunga dakika ya 62 na Brahim Díaz dakika ya 90 na ushei wakati la 'Unionistas lilifungwa na Álvaro Romero dakika ya 57 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALE AFUTA UKAME WA MABAO REAL MADRID YASHINDA 3-1 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top