• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 12, 2020

  YANGA SC YASHUSHA KOCHA MWINGINE KUTOKA 'SAUZI' MWENYE UZOEFU WA KUFUNDISHA KLABU NA TIMU ZA MATAIFA TOFAUTI

  Afisa Mhamasishaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz (kushoto) akiwa na Riedoh Berdien baada ya kuwasili kutoka kwao, Afrika Kusini kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo kama Kocha wa Mazoezi ya Utimamu wa mwili (Fitness coach) na Msaidizi wa Pili chini ya kocha Mkuu, Mbelgiji Luc Eymael baada ya wawili hao kufanya kazi pamoja awali klabu ya Free State Stars.
  Berdien pia amefundisha klabu za Chippa United na timu ya taifa ya Wanawake ya Afrika Kusini, Banyana Banyana na timu za taifa za wanaume za Botswana, Bangladesh na Trinidad and Tobago 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YASHUSHA KOCHA MWINGINE KUTOKA 'SAUZI' MWENYE UZOEFU WA KUFUNDISHA KLABU NA TIMU ZA MATAIFA TOFAUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top