Azam FC ya Dar es Salaam imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Mwadui FC Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, bao pekee la mshambuliaji wake, Shaaban Iddi Chilunda dakika ya 20 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ambao wenyeji walipoteza mkwaju wa penalti baada ya Gerald Mathias kupiga nje dakika ya tano
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment