• HABARI MPYA

  Sunday, January 19, 2020

  NEWCASTLE UNITED YAICHAPA CHELSEA 1-0 BAO PEKEE LA HAYDEN

  Isaac Hayden akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Newcastle United dakika ya 90 na ushei ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St James' Park 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEWCASTLE UNITED YAICHAPA CHELSEA 1-0 BAO PEKEE LA HAYDEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top