• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 25, 2020

  MESSI HOI BARCELONA WAKICHAPWA 2-0 NA VALENCIA LA LIGA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akisikitika baada ya kuchapwa 2-0 na Valencia, mabao ya Maxi Gomez dakika ya 48 na 77 katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Mestalla, hicho kikiwa kipigo cha kwanza cha kocha mpya Quique Setien 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI HOI BARCELONA WAKICHAPWA 2-0 NA VALENCIA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top