• HABARI MPYA

  Thursday, January 23, 2020

  SAMATTA AANZA KUJIFUA ASTON VILLA IKIJIANDAA KUIVAA LEICESTER CITY JUMANNE

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akimiliki mpira kwenye mazoezi ya klabu yake, vwanja vya Bodymoor Heath, jirani na Kingsbury, Kaskazini mwa Warwickshire.
  Samatta aliyesajiliwa Aston Villa wiki hii kwa dau la Pauni Milioni 10 kutoka KRC Genk ya Ubelgiji anatarajiwa kuanza kazi rasmi katika klabu yake hiyo mpya Jumanne itakapomenyana na Leicester City katika Kombe la Ligi England  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA AANZA KUJIFUA ASTON VILLA IKIJIANDAA KUIVAA LEICESTER CITY JUMANNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top