• HABARI MPYA

    Jumatatu, Januari 06, 2020

    WACHEZAJI WA YANGA SC WALIPOWASILI VISIWANI ZANZIBAR JANA TAYARI KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI

    Wachezaji wa Yanga SC wakiwa bandarini, Zanzibar jana baada ya kuwasili tayari michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani humo inayotarajiwa kuanza leo, huku wao wakicheza mechi yao ya kwanza kesho dhidi ya Jamhuri kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar ambayo itarushwa LIVE na Azam Sports 2 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 maoni:

    Item Reviewed: WACHEZAJI WA YANGA SC WALIPOWASILI VISIWANI ZANZIBAR JANA TAYARI KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

    PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

    Scroll to Top