• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 24, 2020

  FIRMINO APIGA LA USHINDI LIVERPOOL YACHAPA WOLVES 2-1

  Roberto Firmino (kulia) akishangilia na beki Virgil van Dijk baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakika ya 84 ikiilaza Wolverhampton Wanderers 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Molineux. Liverpool ilitangulia kwa bao la Jordan Henderson dakika ya nane kabla ya Raul Jimenez kuisawazishia Wolves dakika ya 51 na kwa ushindi huo, Kops wanaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 16 zaidi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIRMINO APIGA LA USHINDI LIVERPOOL YACHAPA WOLVES 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top