• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 30, 2020

  MAN UNITED PUNGUFU YAICHAPA MAN CITY 1-0, LAKINI YATOLEWA

  Refa Kevin Friend akimuonyesha Nemanja Matic wa Manchester United kadi nyekundu dakika ya 76 baada ya kumuonyesha kadi ya njano ya pili kwa kumchezea rafu Ilkay Gundogan wa Manchester City kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali Kombe la Ligi England jana Uwanja wa Etihad. Manchester United ilishinda 1-0, bao pekee la Matic dakika ya 35, lakini ni Manchester City inayokwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kushinda 3-1 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Old Trafford Januari 7 na itamenyana na Aston Villa Machi 1, Uwanja wa Wembley, London 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED PUNGUFU YAICHAPA MAN CITY 1-0, LAKINI YATOLEWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top