• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 14, 2020

  BAADA YA KIKAO CHA DHARULA, MO DEWJI 'ATENGUA KAULI' YA KUJIUZULU UENYEKITI WA BODI SIMBA SC

  Bilionea Mohamed 'Mo' Dewji akiwa kwenye kikao cha dharula na Wajumbe wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' leo Jijini Dar es Salaam, Dewji alitangaza kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi jana baada ya Simba kuchapwa 1-0 na Mtibwa Sugar katika fainali ya Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzbar kupitia ukurasa wake wa Twitter.
  Lakini leo baada ya kikao hicho akaikana Tweet hiyo akisema haelewi kilichotokea kwenye akaunti yake jana na kuwahakikishia wana Simba kwamba bado yuko nao bega kwa bega na sasa anaelekeza nguvu kwenye Ligi Kuu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAADA YA KIKAO CHA DHARULA, MO DEWJI 'ATENGUA KAULI' YA KUJIUZULU UENYEKITI WA BODI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top