• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 28, 2020

  ARSENAL WAICHAPA BOURNEMOUTH 2-1 NA KUSONGA MBELE FA

  Eddie Nketiah akishangilia na Bukayo Saka baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 26 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Vitality. Saka alifunga bao la kwanza dakika ya tano, wakati bao la Bournemouth lilifungwa na Sam Surridge dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAICHAPA BOURNEMOUTH 2-1 NA KUSONGA MBELE FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top