Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite kwa pamoja na viongozi wao wa benchi la Ufundi wakiwa na wawakilishi wa Nyumba ni Choo waliotembelea kambi yao leo mchana na kutoa elimu ya afya. Tanzanite inajiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia U20 dhidi ya Uganda utakaochezwa Jumapili Uwanja wa Taifa Jijin Dar es Salaam.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment