• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 14, 2020

  KOCHA MPYA MBELGIJI ALIVYOWAANDAA YANGA KWA MARA YA MWISHO KABLA YA KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO

  Kocha mpya wa Yanga SC, Mbelgiji Luc Eymael akiwafundisha wachezaji wake kwenye mazoezi ya leo kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar kesho Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 10:00 jioni.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA MBELGIJI ALIVYOWAANDAA YANGA KWA MARA YA MWISHO KABLA YA KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top