• HABARI MPYA

  Thursday, January 16, 2020

  SHIZA KICHUYA ASAINI MKATABA KUREJEA SIMBA SC BAADA YA KUTEMWA NA KLABU YA MISRI

  Kiungo Shiza Ramadhani Kichuya (kulia) akisaini mkataba wa kurejea klabu yake ya zamani, Simba SC baada ya kuachwa na  Pharco ya Misri iliyomsajili Februari mwaka jana na kumpeleka kwa mkopo ENNPI ya huko pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHIZA KICHUYA ASAINI MKATABA KUREJEA SIMBA SC BAADA YA KUTEMWA NA KLABU YA MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top