Wachezaji wa Pilsner, beki Andrew Godwin (kulia) na kiungo Abdallah Suleiman ‘Kaburu’ (kushoto) wakimuinua mwenzao, Jamhuri Kihwelo kufurahia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya vigogo, Simba SC kwenye mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Bara mwaka 1988 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru). Mabao ya Pilsner yalifungwa na Said Mrisho ‘Zico wa Kilosa’ (sasa marehemu) na Athanas Michael, wakati la Simba lilifungwa na Edward Chumila (marehemu pia).
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment