• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 16, 2020

  MATA AIPELEKA MAN UNITED RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA ENGLAND

  Juan Mata akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester Unted dakika ya 67 ikiilaza 1-0 Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa marudio wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford, hivyo kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 1-0 baada ya sare ya 0-0 Januari 4 Molineux 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MATA AIPELEKA MAN UNITED RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top