• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 28, 2020

  MO DEWJI ALIPOMKABIDHI JEZI YA SIMBA SC RAIS WA FIFA, GIANNI INFANTINO

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed 'Mo' Dewji (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino makao makuu ya bodi hiyo ya kandanda Jijini Zurich, Uswisi  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MO DEWJI ALIPOMKABIDHI JEZI YA SIMBA SC RAIS WA FIFA, GIANNI INFANTINO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top