Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi la klabu hiyo Bungeni mjini Dodoma mapema leo uliokwenda sambamba na uzinduzi wa Kadi za Mashabiki Kanda ya Kati, ambazo zinatolewa kwenye matawi yote ya benki ya Equity nchini
Job Ndugai ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya chama tawala, CCM alishiriki mazoezi yote mawili
Job Ndugai ni shabiki mzuri wa klabu ya Simba
Raiders Rumors: 'A Lot of Momentum Building' For Lions' Ben Johnson to Be
Hired as HC
-
The buzz surrounding Detroit Lions offensive coordinator Ben Johnson as a
head coaching candidate is growing louder ahead of the divisional round.
There is...
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment