Mabondia Deontay Wilder (kulia) na Tyson Fury wakitambiana wakati wa mkutano wao wa kwanza na Wasandishi wa Habari mapema leo ukumbi wa Novo Theatre Jijini Los Angeles kuelekea pambano lao marudiano Februari 22 ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani baada ya kutoka droo kwenye pambano la kwanza miezi 13 iliyopita nchini humo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment