• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 19, 2020

  TANZANITES YAICHAPA UGANDA 2-1 LEO MECHI YA KUFUZU FANALI ZA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20

  Mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20, Diana Msemwa (kulia) akishangilia na Protasia Mbunda baada ya kuifungia Tanzanites bao la kwanza katika ushnidi wa 2-1 dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2020. Bao la pili la Tanzania limefungwa na wakati la Opa Clement, wakati la Uganda limefungwa na Julieth Nalukenge. Sasa Tanzanites watatakiwa kwenda kuulinda ushindi huo kwenye mchezo wa marudiano Uganda ili kusonga mbele 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANITES YAICHAPA UGANDA 2-1 LEO MECHI YA KUFUZU FANALI ZA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top