• HABARI MPYA

  Thursday, January 16, 2020

  BLACKPOOL YAMPELEKA ADI YUSSUF KWA MKOPO BOREHAM WOOD HADI MWISHONI MWA MSIMU

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Abdillahie Abdallah 'Adi' Yussuf akiwa ameshika jezi ya klabu ya Boreham Wood ya Daraja la Tano baada ya kujiunga nayo kwa mkopo wa hadi mwishoni mwa msimu kutoka Blackpool ya Daraja la Tatu England
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BLACKPOOL YAMPELEKA ADI YUSSUF KWA MKOPO BOREHAM WOOD HADI MWISHONI MWA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top