• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 18, 2020

  MAN CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA CRYSTAL PALACE ETIHAD

  Sergio Aguero akifunga bao lililoelekea kuwa la ushindi kwa Manchester City dakika ya 87 kabla ya Fernandinho kujifunga dakika ya 90 na kufanya sare ya 2-2 na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Aguero pia aliifungia bao la kwanza Manchester City dakika ya 82 lililokuwa la kusawazisha baada ya Cenk Tosun kuanza kuifungia Crystal Palace dakika ya 39 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA CRYSTAL PALACE ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top