• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 24, 2020

  UZINDUZI WA APP MPYA NA YA KISASA YA AZAM TV ULIVYOFANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

  Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa App ya kisasa na ya aina yake ya Azam TV, hafla iliyofanyika mapema leo makao makuu ya kampuni hiyo, Tabata Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni, Mkurugenzi wa Masoko, Azam Media, Sabreena Mohamedally.
  Ili kuitumia App mpya ya Azamtv Max, unatakiwa kuingia play store na kupakua upya hata kama ulikuwanayo ile ya zamani, na utatakiwa kujisajili upya 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UZINDUZI WA APP MPYA NA YA KISASA YA AZAM TV ULIVYOFANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top