• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 20, 2020

  SALAH AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAICHAPA MAN UNITED 2-0

  Mshambuliaji Mmisri Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 90 na ushei kufuatia beki Mholanzi, Virgil Van Dijk kufunga la kwanza dakika ya 14 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United leo Uwanja wa Anfield hivyo kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa pointi 16 zaidi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAICHAPA MAN UNITED 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top