• HABARI MPYA

  Sunday, January 19, 2020

  MCGREGOR ATUMIA SEKUNDE 40 KUMMALIZA DONALD CERRONE

  Conor McGregor akimrukia teke Donald Cerrone katika pambano la UFC 246 uzito wa Welter ambalo alitumia sekunde 40 tu kummaliza mpinzani wake subuhi ya leo ukumbi wa T-Mobile Arena Jijni Las Vegas, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCGREGOR ATUMIA SEKUNDE 40 KUMMALIZA DONALD CERRONE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top