• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 24, 2020

  RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOMKABIDHI MIPIRA MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO LEO

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto), akimkabidhi mipira Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, Casilda Mgeni Mlimila leo mjini humo katika harakati zake za kuhakikisha Soka linachezwa kila sehemu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOMKABIDHI MIPIRA MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top