Mario Mandzukic akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Croatia bao la ushindi dakika ya 109 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia usiku wa Jumatano Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi. England ilitangulia kwa bao la Kieran Trippier dakika ya tano, kabla ya Ivan Perisic kuisawazishia Croatia dakika ya 68. Croatia sasa itakutana na Ufaransa Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
3 High-Flying Stocks Worth Your Attention
-
Expensive stocks typically earn their valuations through superior growth
rates that other companies simply can’t match. The flip side though is that
these ...
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment