MBAO FC HAWAJAPOA, WASAINI WAWILI KUIMARISHA KIKOSI CHAO
Wachezaji Peter Mwangosi kutoka Njombe Mji FC na Emmanuel Mtumbuka kutoka Dodoma FC wakiwa wameshika fomu za mikataba ya kujiunga na klabu ya Mbao FC ya Mwanza leo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
0 comments:
Post a Comment