Mshambuliaji wa Ubelgiji, Romelu Lukaku (kushoto) akimtoka mchezaji wa Misri katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kujiandaa na Kombe la Dunia uliofanyika Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussells, Ubelgiji usiku wa jana. Ubelgiji ilishinda 3-0, mabao ya nyota wake wanaocheza England, Lukaku dakika ya 27, Eden Hazard dakika ya 38 na Marouane Fellaini dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Thursday, June 07, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment