WINGA Muivory Coast, Kipré Tiagori Emmanuel Junior Zunon ‘Kipre Junior’ amejiunga tena na Azam FC akitokea MC Algiers ya Algeria.
“Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumemrejesha nyota wetu wa zamani, Kipre Junior baada ya kumnunua kutoka klabu ya MC Algiers. Karibu tena nyumbani,“ wameandika Azam FC kwenye ukurasa wao.
Kipre Junior anarejea Azam FC ambako awali alicheza kuanzia msimu wa 2022-2023 akitokea SOL FC d’Abobo ya kwao, Ivory Coast hadi 2024-2025 alipohamia MC Algiers.
.jpeg)



.png)
0 comments:
Post a Comment