Gwiji wa Manchester United, Ruud van Nistelrooy akishangiulia na Danny Webber baada ya wote kufunga katika sare ya 2-2 na Magwiji wa Barcelona jana Uwanja wa Old Trafford kabla ya wenyeji kushinda kwa penalti 5-3. Mabao ya Barca yalifungwa na Luis Garcia na Gaizka Mendieta. Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo Juni mwaka huu Uwanja wa Nou Camp Manchester United ilifungwa 3-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment