Nyota wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kuifungia Hispania mabao mawili dakika za 13 na 40 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Italia kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi. Bao lingine la Hispania katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid, lilifungwa na Alvaro Morata wa Chelsea dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment