• HABARI MPYA

  Sunday, September 03, 2017

  TAIFA STARS NA BOTSWANA KATIKA PICHA JANA UHURU

  Beki wa Botswana, Simisani Mathumo (kushoto) akipambana na beki wa Tanzania, Erasto Nyoni kuwania mpira wa juu katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Taifa Stars iliwachapa The Zebras 2-0  
  Mfungaji wa mabao yote mawili ya Taifa Stars, Simon Msuva (kushoto) akipambana na beki wa Zebras, Lopang Mosige 
  Simon Msuva akipatiwa matibabu kipindi cha kwanza
  Kiungo Raphael Daudi wa Tanzania akiwatoka wachezaji wa Botswana jana
  Kiungo wa Tanzania, Himid Mao (kulia) akimiliki mpira
  Mshambuliaji wa Tanzania, Elias Maguri akiwatoka mabeki wa Botswana 
  Wachezaji wa Botswana wakimdhibiti mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta
  Beki wa Botswana, Edwin Olerile akimiliki mpira mbele ya winga wa Tanzania, Shiza Kichuya
  Kikosi cha Tanzania katika mchezo wa jana
  Kikosi cha Botswana katika mchezo wa jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA BOTSWANA KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top