Kocha Mjerumani wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Burkhad Pape akiwa na wachezaji wa timu hiyo kutoka kulia Emmanuel Gabriel, Primus Kasonso, Juma Kaseja na kutoka kushoto, Mecky Mexime, Nteze John na Boniface Pawasa nyuma kwenye makazi ya Wamaasai eneo la Monduli mkoani Arusha walipokwenda kuwatembelea baada ya mechi za Kombe la CECAFA Castle mwaka 2000.
Outrage as Enugu woman allegedly forces niece to eat human faeces
-
A wave of anger has erupted in Ugwuoba community, Oji River Local
Government Area of Enugu State, following allegations that a woman forced
her young nie...
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment