Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwatoka wachezaji wa Mwadui katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akipasua katikati ya mabeki wa Mwadui jana
Kiungo Mghana wa Simba, James Kotei akitoa pasi mbele ya mchezaji wa Mwadui
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akimuacha chini beki wa Mwadui jana
Mshambuliaji a Simba, Emmanuel Okwi akimtoka kiungo wa Mwadui, Razack Khalfan
Kiungo wa Simba, Shiza Kichuya akimtoka kiungo wa Mwadui, Razack Khalfan
Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mwadui, Awadh Juma
Kiungo wa Mwadui, Hassan Kabunda akimuacha chini mshambuliaji wa Simba, Nicholaus Gyan
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment