Davy Propper akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Uholanzi mabao mawili dakika za saba na 80 jana Uwanja wa Amsterdam ArenA katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bulgaria kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu kombe la Dunia mwakani Urusi. Bao lingine la Uholanzi lilifungwa na Arjen Robben, wakati la Bulgaria limefungwa na Georgi Kostadinov dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment