• HABARI MPYA

  Sunday, September 17, 2017

  LUIZ ALIMWA NYEKUNDU, CHELSEA YATOA SARE NA ARSENAL DARAJANI 0-0

  Beki wa Chelsea, David Luiz akionyeshwa kadi nyekundu dakika 87 kwa kumchezea rafu Sead Kolasinac katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Arsenal jioni ya leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUIZ ALIMWA NYEKUNDU, CHELSEA YATOA SARE NA ARSENAL DARAJANI 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top