• HABARI MPYA

  Wednesday, July 05, 2023

  TWIGA STARS YAIFUATA UGANDA MECHI YA KIRAFIKI IJUMAA


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake Tanzania, Twiga Stars wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam leo wakati wa safari ya kwenda Uganda kwa mchezo wa kirafiki Ijumaa dhidi ya wenyeji Uwanja wa Omondi, Lugogo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS YAIFUATA UGANDA MECHI YA KIRAFIKI IJUMAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top