• HABARI MPYA

  Wednesday, July 05, 2023

  RAIS SAMIA AZINDUA JEZI MPYA ZA YANGA LEO MALAWI


  KLABU ya Yanga leo imezindua jezi zake rasmi za msimu wa 2023-24 Jijini Lilongwe kwa kuwakabidhi Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake, Rais wa Malawi Dk. Lazarus McCarthy Chakwera. 
  Yanga ipo Malawi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na wenyeji, Nyasa Big Bullets kesho Uwanja wa Bingu Mutharika Jijini Lilongwe kuazimisha miaka 59 ya Uhuru wa nchi hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA AZINDUA JEZI MPYA ZA YANGA LEO MALAWI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top