• HABARI MPYA

  Friday, May 05, 2023

  OMBI LA FEISAL SALUM KUVUNJA MKATABA NA YANGA LADUNDA TENA TFF


  OMBI la kiungo Mzanzibari, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kuvunja mkataba na klabu ya Yanga kwa mara nyingine limegonga mwamba mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OMBI LA FEISAL SALUM KUVUNJA MKATABA NA YANGA LADUNDA TENA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top