• HABARI MPYA

  Tuesday, April 05, 2022

  AL AHLY NA RAJA, MAMELODI WAPEWA WAANGOLA


  MABINGWA watetezi, Al Ahly SC ya Misri watemenyana na Raja Casablanca ya Morocco katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. 
  Mechi nyingine, ES Setif ya Algeria itamenyana na Espérance ya Tunisia, wakati CR Belouizdad ya Algeria itacheza na Wydad Casablanca ya Morocco na Petro Atletico ya Angola itamenyana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
  Mechi za kwanza zitachezwa kati y Aprili 15 na 16 na marudiano ni kati ya Aprili 22 na 23, mwaka huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AL AHLY NA RAJA, MAMELODI WAPEWA WAANGOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top