• HABARI MPYA

  Saturday, April 16, 2022

  ITOSHE KUSEMA; “ AUCHO IS BACK YANGA”


  KIUNGO Mganda, Khalid Aucho aliyekosekana tangu mwezi uliopita kutokana na maumivu amerejea kikosini Yanga, akiwa miongoni mwa wachezaji walioanza mazoezi jana kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC Jumamosi ya wiki ijayo, Aprili 23 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  Beki Mkongo, Djuma Shabani alifanya mazoezi kikamilifu jana kuelekea mechi mbili za kumalizia kalenda ya mwezi, nyingine dhidi ya mahasimu, Simba SC Aprili 30.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITOSHE KUSEMA; “ AUCHO IS BACK YANGA” Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top