• HABARI MPYA

  Friday, April 08, 2022

  YANGA WALIVYOKABIDHIWA TUZO ZAO CHAMAZI


  KIUNGO Mrundi wa Yanga, Saido Ntibanzokiza akikabidhiwa tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Februari, mwaka huu msimu wa 2021-2022.
  Tuzo hiyo ilitolewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Jumatano Yanga ikishinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Azam FC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.


  Wengine waliokabidhiwa ni Kocha tulikabidhiwa tuzo za Wachezaji bora na Kocha Mtunisia, Nasreddine Nabi miezi ya Oktoba na Februari, kiungo Mzanzibari, Feisal Salum mwezi Oktoba na mshambuliaji Mkongo, Fuston Kalala Mayele mwezi Januari.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOKABIDHIWA TUZO ZAO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top