• HABARI MPYA

  Sunday, April 24, 2022

  DODOMA JIJI YAZINDUKA, YAICHAPA MBEYA CITY 2-1

  WENYEJI, Dodoma Jiji jana wamezinduka na kuichapa Mbeya City ambao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
  Mabao ya Dodoma Jiji yalifungwa na Augustine Nsata dakika ya pili na Seif Abdallah Karihe dakika ya 25, wakati la MCC lilifungwa na Samson Madeleke dakika ya 41.
  Dodoma Jiji inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 21 na kusogea nafasi ya 10, wakati Mbeya Kwanza City inabaki na pointi zake 25 za mechi 20 sasa nafasi ya saba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAZINDUKA, YAICHAPA MBEYA CITY 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top