• HABARI MPYA

  Friday, April 08, 2022

  FIFA WATEMBELEA KITUO CHA TFF KIGAMBONI


  AFISA Maendeleo ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Klaus Staerk, ametembelea Kituo cha Michezo cha Kigamboni kinachojengwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Ufundi TFF, Oscar Mirambo.   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIFA WATEMBELEA KITUO CHA TFF KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top